SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: WASOMI WA MATAIFA MBALIMBALI WAIKOSOA KANUNI YA MATUMIZI YA FEDHA YA FFP.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
FINANCIAL Fair Play, FFP, imetengeneza mgawanyiko mkubwa katika soka tangu kuanzishwa kwake mwaka 2012 kulingana na wachumi wa chuo kik...
Benzema, Bale, Ronaldo



FINANCIAL Fair Play, FFP, imetengeneza mgawanyiko mkubwa katika soka tangu kuanzishwa kwake mwaka 2012 kulingana na wachumi wa chuo kikuu cha Ujerumani.

Shirikisho la mpira balani ulaya, UEFA lilianzisha kanuni hii ya FFP ikiwa na lengo la kuboresha matumizi ya fedha kwenye vilabu vya bala hilo.

Wachumi wa England, Ujerumani, Italia, Ufaransa pamoja na mataifa mengine walikuwa wakisoma juu ya matokeo ya kanuni hiyo kwa takrabani miaka kumi.

Utafiti wa wachumi hao uligundua kuwa vikwazo kwa wawekezaji vimepelekea vilabu vidogo kupata hasara pamoja na kupunguza ushindani na vilabu vikubwa.

"Kanuni ya UEFA ya FFP haijapunguza tofauti baina ya klabu kubwa na ndogo lakini kilichotokea ni kuongeza tofauti zaidi" Alisema  Christoph Kaserer Profesa wa chuo cha ufundi cha Munich.

Utafiti ulisema FFP imeendeleza tabaka zilizopo kama hairuhusu klabu changa kujiendeleza kupitia wawekezaji.

"Wawekezaji wanaweza kuvunja miundo imara na hivyo kuimarisha ushindani" Aliongeza Dr. Daniel Urban.

Hata hivyo, Utafiti ulipendekeza na UEFA kwa FFP kwa kipindi cha mwaka 2015-2018 ili kusaidia klabu ziendelee kufanya mageuzi ya kifedha ambapo ilikuwa ni hatua sahihi.

08 Sep 2016

About Author

Advertisement

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top