Alijiuzulu nafasi ya Urais wa FIFA April 2013 kufuatia
uchunguzi wa madai ya kupokea rushwa,na kulazwa
hospitalini mwaka uliofuata alipokumbwa na ugonjwa wa mapafu.
Alikuwa mmoja wa wanakamati wa Olympic (IOC), kuanzia mwaka
1963 hadi 2011 alipojiuzulu kwa sababu ya kudhoofu kwa afya yake.
Havelange aliiwakilisha Brazil katika mashindano ya Olympic
ya Kuogelea mwaka 1936, mwaka ambao aliidhinishwa kuwa mwanasheria kabla ya
kuchaguliwa na IOC.
Akiwa kiongozi wa FIFA aliongeza washiriki wa kombe la dunia
kutoka timu 16 hadi 32, ambapo mashindano 6 yalifanyika chini ya utawala wake
Post a Comment