Kiasi cha Paundi milioni 23 sambamba na
ongezeko la Paundi milioni 7 lilitolewa na Crystal Palace baada ya kukataliwa kwa
Paundi milioni 25.
Benteke mwenye miaka 25, amekosa namba mbele ya
kocha Jurgen Klopp aliyeingia Klabuni hapo Oktoba mwaka jana huku akianza
katika michezo nane tu ya ligi kuu.
Benteke alijiunga na Majogoo hao kwa ada ya
Paundi milioni 32.5 mwezi Julai 2015 chini ya kocha wa zamani Brendan Rodgers
huku akifunga magoli kumi.
Post a Comment