SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: IBRAHIMOVIC KUSTAAFU SOKA LA KIMATAIFA BAADA YA EURO 2016
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ibrahimovic kustaafu soka ya kimataifa Nyot Sweden Zlatan Ibrahimovich ametangaza kwamba atastaafu katika soka ya kimataifa baada ya...

Ibrahimovic kustaafu soka ya kimataifa


Nyot Sweden Zlatan Ibrahimovich ametangaza kwamba atastaafu katika soka ya kimataifa baada ya michuano ya Euro 2016.
Taifa lake linakutana na Ubelgiji katika mechi ya mwisho ya kundi E siku ya jumatanoambayo huenda ikawa mechi yake ya mwisho kwa taifa lake.
Alisema:Ninajivunia kile nilichofanikiwa kupata na kila mara nitatembea na bendera ya Sweden.
Klabu ya Manchester United imehusishwa pakubwa na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 ambaye alikuwa ajenti huru baada ya kuondoka klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa .


bbc

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top