SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: ALEKSANDER CEREFIN AMECHAGULIWA KUWA RAIS WA UEFA.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Aleksander Ceferin amechaguliwa kuwa rais mpya wa Shirikisho la Soka Barani Ulaya (Uefa). Ceferin, ambaye ni mkuu wa Chama cha Soka n...

Aleksander Ceferin amechaguliwa kuwa rais mpya wa Shirikisho la Soka Barani Ulaya (Uefa).
Ceferin, ambaye ni mkuu wa Chama cha Soka nchini Slovenia, amepata kursa 42 kwenye mkutano maalum ulioanyika jijini Athens nchini Ugiriki, idadi ya kura 29 zaidi ya mshindani wake Mdachi Michael van Praag.
Michael van Praag and Aleksander Ceferin

Msloveni huyo (48), anachukua mikoba iliyoachwa wazi na rais wa zamani wa shirikisho hilo Mfaransa Michel Platini, ambaye alijiuzulu baada ya kufungiwa kujihusisha na masuala ya soka mwaka jana.
Ceferin ataziba nafasi hiyo ya Platini mpaka mwaka 2019 uchaguzi mwingine utakapotishwa.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top