SPORTS

 

Unknown Unknown Author
Title: MKWASA AWEKA HADHARANI KIKOSI KITAKACHOWAVAA SUPER EAGLES:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
KOCHA mkuu wa timu ya Tanzania, Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ametangaza kikosi ambacho kitaenda kuwavaa timu ya taifa ya Niger...





KOCHA mkuu wa timu ya Tanzania, Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ametangaza kikosi ambacho kitaenda kuwavaa timu ya taifa ya Nigeria, The Super Eagles mapema mwezi ujao.

Mkwasa ametaja wachezaji 20 ambao wanatarajia kuingia kambini tarehe 28 na safari ya kuelekea Lagos ikiwa imepangwa September mosi.

Mchezo huo wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Africa, ni wa kukamilisha ratiba kwani tayari trimu zote mbili hazina nafasi ya kufuzu baada ya Misri kuibuka kidedea kwenye kundi hilo.

KIKOSI HICHO NI PAMOJA NA:

MAKIPA:
Deogratius Munish ‘Dida’
Aishi Manula

MABEKI:
Mwinyi Haj  Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr Shomari Kapombe
Andrew Vincent ‘Dante’Juma Mahadhi Kelvini Yondani  David Mwantika

VIUNGO:
Himid Mao Ibrahim Rajab JonasN Mkude Mzamiru Yassin Jonas Mkude

WASHAMBULIAJI:                                                                                          Jamal Mnyate Ibrahim AjiShiza Kichuya Farid Mussa
Mbwana SamattaSimon Msuva John Bocco

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top