
BAADA ya mazungumzo ya muda wa siku mbili
kati ya viongozi wa klabu ya Wekundu wa Msimbazi, Simba na mkurugenzi wa
makampuni ya Mohammed Enterprises
Limited (MeTL) Bw. Mohammed Dewji na kujadili namna ya kuiendesha klabu hiyo
kwa mfumo mpya wa hisa na kuachana na mfumo wa zamani wa uanachama, huu hapa ni
mwongozo wa klabu ya Simba juu ya nini walichokubaliana kuhusu namna ya
kuiendesha timu hiyo.


Post a Comment